Donald Trump amesema Alhamisi kuwa hajui ikiwa Rais wa Urusi Vladimir Putin atahudhuria mkutano wa G20 huko Miami, lakini amesema anaweza ikiwa atataka.